pide89 Member Joined Aug 10, 2014 Posts 41 Reaction score 3 Aug 24, 2014 #1 Habari wana jamii forum! nna simu yangu aina ya nokia 5250 imepata hitilafu leo imepasuka kioo kidogo na wino umevuja ndani! mwenye uzoefu wa kutatua tatizo kama hilo anisaidie
Habari wana jamii forum! nna simu yangu aina ya nokia 5250 imepata hitilafu leo imepasuka kioo kidogo na wino umevuja ndani! mwenye uzoefu wa kutatua tatizo kama hilo anisaidie