Msaada: Sipati usingizi huu mwezi wa pili

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
709
Habari yenu,

Nilikuwa naomba msaada wa dawa au chakula cha kula ili niwe napata usingizi, maana nimechoka kukesha.

Huwa napata usingizi saa kumi usiku na naamka saa kumi na moja alfajiri kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.

Sasa hii hali nimechoka. Naombeni msaada wenu wa dawa au chakula cha kutumia ili nianze kupata usingizi.
 
Punguza mawazo, kuna jambo ulitaka lifanikiwe but bado linasuasua au limefell,amini kwamba utafanikiwa then upe ubongo wako nafasi ya kurelax,pia fanya mazoezi na jichanganye na washikaji na usipende kukaa peke yako peke yako, angalia TV na vipindi uvipendavyo. Usitumie dawa yoyote ya hospital.
Huo ni ushauri wangu mzuri kwako.
 
Pole. Kama uko Dar Es Salaam nenda pale Manzese Phabek Pharmacy waambie wakupe hii dawa. Amitriptyline, niliwahi kuitumia huko nyuma nililala siku tatu mpaka mwenye nyumba akajua nimevuta... It helps in a number of disorders ila la kukosa usingizi au Insomnia pia linasaidia. Kwa msaada Zaidi google disorder inayoitwa Insomnia...

Amitriptyline as an Insomnia Treatment
Off-Label Use for an Anti-depressant
Amitriptyline is a drug approved for the treatment of depression. However, like other types of anti-depressants, it’s also commonly used as an off-label treatment for insomnia. Off-label drugs are not FDA approved for alternative uses, but because of relative effectiveness medications like amitriptyline gain new uses in popular medicine.

Besides its alternative use as sleep aid, amitriptyline is also used to treat pain associated with a wide array of medical conditions.

How Amitriptyline Works
Amitriptyline works as an anti-depressant by suppressing serotonin reuptake and norepinephrine uptake, as well. Both serotonin and norepinephrine are important neurotransmitters responsible for automatic mood and body responses. When both are in short supply the symptoms of depression, in tandem often with insomnia, can occur. Amitriptyline is known as a tricyclic antidepressant for its molecular structure.

As a Treatment for Insomnia
Remember, amitriptyline was not designed as a sleep aid, but as an anti-depressant and as such has many more popular anti-depressants ahead of it. But it’s usefulness as a sleep aid continues. Biggest benefit is the drug’s long half-life, 12-24 hours, which far exceeds that of most insomnia medications. This bioavailability makes the drug useful for patients with late waking insomnia—or the propensity for waking very early in the morning, at the end of the sleep cycle, unable to return to sleep.

But as drugs go one of the biggest controversies surrounding the use of amitriptyline is its use among physicians who prescribe it first for insomnia. Interestingly one of the common side effects IS insomnia, along with dry mouth, weight gain, dizziness, and confusion. But the challenge with some more common prescription sleep aids is their super short half-lives, making them totally useless for late insomnia sufferers.


How Amitriptyline is Used as an Off-Label Treatment for Sleep Disturbance
 
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri
 
Asante mkuu ,,nipo dar tajitahidi kufika eneo hilo
 
Mkuu una msongo wa mawazo, tatua chanzo kinachokusababishia msongo.
 
Usilazimishe kulala mapema kaa mpaka umeanza kupata usingizi, oga maji ya moto kama kuna joto ht ya uvuguvugu pia ukiweza kupata glasi ya maziwa kunywa kabla ya kulala.
 
Pole. Punguza mawazo. Socialize. amini utafanikiwa kwenye jambo mabalo ama umelikosa au bado hujafanikiwa.
 
Kuna physics moja inaweza kuwa sababu ingawa siyo lazima iwe hivyo kwa wote: Kuna kitu kinaitwa alignment of eath's magnetic field and body magnetic field. When the two fields interact at any position with different alignments which may cause/result in a discomfort to a person including lose of sleep. Cha kufanya, geuza kitandaa chako kielekee upande wa kusini...utalala usingizi mnono bila kutumia nguvu kubwa!! If you are luck, inaweza kuwa ndo permanent solution.

Its actually the application of "Laws of Electromagnetism"

Magnetic Field of Earth and Human Sleeping Position
 
Ni rahisi sana kabisa kuvuta usingizi kwa kufuata hatua hizi.
1.Kaa kitandani au lala vizuri.
2.Anza kusikiliza kwa making milio ya ndege,magari au vitu vyovyote mazingira ya nje lakini isiwe radio .
Sikiliza kwa makini sauti za mazingira Natural sound muda mfupi stress zitaondoka na usingizi utakupata.
 

Ni Hatari sana kutafakari kitu chochote ukiwa umelala maana utaharibu ubongo.
Unapolala. hakikisha. fikra zako na hisia zinakuwa free kwa kusikiliza. sauti mbalimbi kama upepo ndege wa nyama nk. Usijadili maada yoyotr uwapo umelala
 
Chukuwa maziwa ya moto glasi 1 tia ndani yake kijiko 1 kikubwa cha Asali koroga vizuri unywe utapata usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…