Masala kolangwa
Member
- Aug 15, 2024
- 5
- 4
Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi.
Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo website yao, nikipakua app inaniletea taarifa hiyo hiyo.
Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo website yao, nikipakua app inaniletea taarifa hiyo hiyo.