Masala kolangwa
Member
- Aug 15, 2024
- 5
- 4
Unatumia simu gani mkuuHabari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi.
View attachment 3119567
Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo website yao, nikipakua app inaniletea taarifa hiyo hiyo.
Na kama imechokonolewa ndo haiwezekani kutumia wasapHoja sio oppo ninayo na ninaishi pia,kwa sasa whatsap mambo ya simu kua rooted au bootloader kua unlocked ndio sababu za msingi ,kikubwa ingia play store pakua app ya play integrity app checker kisha ifungue ,ikikuletea vema zote tatu simu itakubali whatsap na kinyume chake ,pia tumia cpu z kujua simu kama imechokonolewa