Msaada: Soft copy ya katiba ya kikundi/ Saccoss

Msaada: Soft copy ya katiba ya kikundi/ Saccoss

mjuba101

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
159
Reaction score
65
Wadau habari za jioni,

Kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na soft copy ya katiba ya kikundi au saccoss anisaidie tafadhali.

Mimi na vijana wenzangu tumeanzisha kikundi cha watu kumi for Saving Purpose as starting point na moja ya bank requirement ni kuwa na Katiba ya kikundi, Katiba hiyo itatusaidia kupata muongozo na kuondoa yale tunayoona hayatufai huku tukiweka yale tunayohitaji na tutakayokua tumekubaliana kama wana kikundi.

Hivyo basi mdau yeyote mwenye katiba ya kikundi au saccoss anahusika.

Namshawishi kutoa msaada ili nasi tupate kuwekeana makubaliano yatakayokua msingi mama katika kufikia malengo yetu.

Natanguliza shukrani ndugu wadau. Mungu awabiriki

"The power of WE"

Email: mojoki@icloud.com
 
Back
Top Bottom