Dickson Edwin Mgaya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 513
- 1,422
Kama kichwa kinavyojieleza ninaomba MSAADA wa kitabu tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye nacho in soft copy. Mwandishi ni Mwl. Ambrose Odhiambo wa Bagamoyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏Unafikiri Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo akikusikia unakitafuta kitabu chake kwa njia hizi za panya badala ya kukinunua kihalali naye akapata kipato atafurahi? Ungekuwa wewe ndiyo Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo ungefurahi?
Ngoja nikutafutie mkuu ila tu hakikisha Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo asijue [emoji16][emoji16][emoji16]
Nenda kwenye bookshops dogo tafuta kitabu hard copy nunua piga msuliKama kichwa kinavyojieleza ninaomba MSAADA wa kitabu tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye nacho in soft copy. Mwandishi ni Mwl. Ambrose Odhiambo wa Bagamoyo.