Unafikiri Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo akikusikia unakitafuta kitabu chake kwa njia hizi za panya badala ya kukinunua kihalali naye akapata kipato atafurahi? Ungekuwa wewe ndiyo Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo ungefurahi?
Ngoja nikutafutie mkuu ila tu hakikisha Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo asijue [emoji16][emoji16][emoji16]