Kilwa au pangani.Je na mimi nahitaji kujua wapi nitapata nazi kwa bei rahisi.
Capital kama bei gani..na mzigo wabei rahisi huwa unachukulia wapi..kukusanya sio shida sana ni kuwapa task vijana tu.Nimefuatilia nazi ukitaka kuuza kweli uende na fuso pale sterio au ilala unauza siku 2 au 3 unakunja milion 2 yako unaondoka mdogo mdogo kununua bundle na kuperuzi insta na jamiiforum .lakin sio rahisi kihivyo hadi kuzileta hapo sokon utahenyeka sana kwenye kukusanya hadi kufika sokon unaweza chukua wiki 2 .ni biashara nzuri ila capital yake ni kubwa pia kama unataka kuifanya serious .....huku mtaan wanauza 1,200 hadi 1,400 inamaana hawa wananunua buku hadi 900 spkon.