popiexo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 742 Reaction score 183 Jul 10, 2014 #1 Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze.
Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze.
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,402 Reaction score 2,550 Jul 10, 2014 #2 popiexo said: Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze. Click to expand... Hawa jamaa wenye mabanda ya kuuzia kuku kienyeji kama pale breakpoint au ukonga wananunua je unayo Mayai ya kanga?
popiexo said: Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze. Click to expand... Hawa jamaa wenye mabanda ya kuuzia kuku kienyeji kama pale breakpoint au ukonga wananunua je unayo Mayai ya kanga?
popiexo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 742 Reaction score 183 Jul 10, 2014 Thread starter #3 bluetooth said: Hawa jamaa wenye mabanda ya kuuzia kuku kienyeji kama pale breakpoint au ukonga wananunua je unayo Mayai ya kanga? Click to expand... Vipi bei yao kwa Kanga wakubwa.
bluetooth said: Hawa jamaa wenye mabanda ya kuuzia kuku kienyeji kama pale breakpoint au ukonga wananunua je unayo Mayai ya kanga? Click to expand... Vipi bei yao kwa Kanga wakubwa.
mwidiwe Member Joined Jul 22, 2014 Posts 19 Reaction score 4 Jul 28, 2014 #4 Nahitaji mayai ya kanga mkuu, unayo na unauza bei gani. Je kanga unauza bei gani? Nahitaji kuanza kufuga.
Nahitaji mayai ya kanga mkuu, unayo na unauza bei gani. Je kanga unauza bei gani? Nahitaji kuanza kufuga.
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Jul 30, 2014 #5 Je unakanga weupe
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Jul 30, 2014 #6 unauzaje kanga?