Ukinunua mahindi na kwenda kuyauza unakuwa hujafanya chocjote ila ukinunua ukasaga na kuuza unga hapo un akuwa umefanya kitu.
Mara nyingi hii biashara inataka ujanja ujanja ikiwemo kuchanganya mahindi mazuri na mabovu, au kutumia kipimo kisicho sahihi wakati wa kununua, Na ujanja ujanja huingia kwa sababu bila hivyo hupati pesa na ili upate mafanikio katika biashara hizi ni Bora ukawa unanunua na kuprocess au kuongeza thamani hayao mazao yako.
Himo napafahamu ndg,
Ila sikuwahi kujua kama kuna fursa hii..
Upo wap? Huku Himo Kilimanjaro kuna soko zuri la kuwauzia wakenya na huu ndio msimu wake