Wadau naomba kwa yeyote anayejua mwenendo wa soko la ndizi ngumu/mzuzu mkoani mtwara kama vile bei kwa mkungu na mahitaji yake kwa ujumla hata changamoto pia.Plani ni kutoa ndizi mbinga kwenda mtwara, asanteni.

soko lipo vizuri sana. Hata ukiamua kuuza kwa rejareja. Mtwara kuna tabia ya kuuza kwa bei kubwa sana. We fikiria kupata faida ndogo ili uuze sana. Hapo utawazidi wafanya biashara wa huku