Ndugu wadau wa JF naomba mtu yeyote anayejua au mwenye connection na wadau wa biashara ya Vinyago(tofauti tofaut) hasa maeneo ya utalii anisaidie nimeianza hyo biashara ila sijapata soko la kutosha.
go arusha,zanzibar, kilimanjaro ata mt.kilimanjaro base, na maeneo ya mahotelini na ufukweni ukimudu kurob haya maeneo ukawa na centres sure you will sell!
Ndugu wadau wa JF naomba mtu yeyote anayejua au mwenye connection na wadau wa biashara ya Vinyago(tofauti tofaut) hasa maeneo ya utalii anisaidie nimeianza hyo biashara ila sijapata soko la kutosha.
Wachongaji wengi na wauzaji wa vinyago wako Mwenge Dar es Salaam. nenda hapo fanya research, ongea na wauzaji wa hapo na utajua jinsi niashara hiyo inavyofanyika. Kuna madalali ambao wanatafuta wateja na wanaongeza cha juu chao kwenye bei ya vinyago. Unaweza ukashirikiana na hao wenye maduka