Msaada: Sole proprietor or limited company?

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
TAFADHARI WANA JF! NAOMBA KUFAHAMISHWA; NINA HITAJI KURASIMISHA SHUGHULI ZANGU ZA CONSULTANCY! NATAKA KUANZISHA OFISI YANGU, JE IWE KAMA SOLE PROPRIETOR AU LIMITED (PRIVATE) COMPANY? je hatua zake ni zipi-kwa kila moja? ipi nzuri? Asanteni!
 
mtafute mtu anaitwa THEDEALER hizo ndo kazi zake
 
Mkuu IPILIMO

Pros (Kampuni)
-Mara zote kufanya biashara kama Limited Company kunakusaidia kuweza kupata wateja wakubwa maana siku zote kama kampuni utaaminika zaidi kuliko ukiwa binafsi.
-Ni rahisi pia kupata mikopo bank ukiwa kama kampuni kuliko ukiwa una-operate kama individual
-Ukifungua kampuni unalipa kodi kwenye net income (mapato baada ya kutoa matumizi), huko kwenye matumizi unaweza kuweka mshahara wako kama executive director wa kampuni, kwa kiasi ambacho wewe unaona kinatosha na hivyo kuweza kulipa kodi ndogo sana bado.

Pros(Individual consultancy)

Faida kubwa ya kufanya kama individual consultant (local) ni kutolipa kodi kwani witholding tax kwenye consultancy fee ni zero (0%)..

Conclusion

Kwa maoni yangu, unless unataka kuwa mdogo daima...fungua kampuni..ni hayo tu.
 
THANK YOU BROTHER, moving forward with Company registration!
 
TAFADHARI WANA JF! NAOMBA KUFAHAMISHWA; NINA HITAJI KURASIMISHA SHUGHULI ZANGU ZA CONSULTANCY! NATAKA KUANZISHA OFISI YANGU, JE IWE KAMA SOLE PROPRIETOR AU LIMITED (PRIVATE) COMPANY? je hatua zake ni zipi-kwa kila moja? ipi nzuri? Asanteni!
ujasema kama hata unao watu wakuingia nao ubia maana as far as i know kwengine duniani private limited has to have more than one shareholder and a certain amount of reserve equity before registered.

sasa hata sijui mtu anaweza kukushauri vipi kwenye upande wa Ltd pasipo na facts nyingi hili uweze sajiliwa in the first place, sometimes ppl need to do a little research for themselves before posing questions at time they just dont make sense.

These things are more strategic and your vision of the company, sasa kama consultant anaomba ushauri huu and he is going to advice businesses, i kind-a feel sorry for your future clients you as their trouble-shooter or advisor.

just realism.
 
Nitafute nitakutengenezea memorunduw & articles of association ya kampuni yako. Then nitakuelekeza kwa msajili pale brela.
 
Nitafute nitakutengenezea memorunduw & articles of association ya kampuni yako. Then nitakuelekeza kwa msajili pale brela.
amekwambia anae huyo patner/s kabla ujaanza kuuza services zako, worst of his business is centered with proffesional advice, don't these sort of organisation tend to grow as far as patnerships in most cases.
 
Worry not, just settled the matter!!! am not working on advising clients about rules, laws, acts regarding business undertaking and its procedures......., A consultant cant work alone in every aspect of his/her service, he consults other professionals to accomplish the clients needs! Give me Five!
 
amekwambia anae huyo patner/s kabla ujaanza kuuza services zako, worst of his business is centered with proffesional advice, don't these sort of organisation tend to grow as far as patnerships in most cases.

I have my co-consultant on the matters we deal with! we have remarkable success, I have been doing it on my own as individual/independent consultant, but where necessary, we Cooperate as partners. I have required professional qualifications (Resource mobilization and management)
 
Nitafute nitakutengenezea memorunduw & articles of association ya kampuni yako. Then nitakuelekeza kwa msajili pale brela.

Thanks, I can write the write-ups! sema unaweza ukawa part time wa kuandika such write-ups whenever i get clients.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…