Hello colleagues! I am a student at one of the distance learning university. I have this assignment and I dont
know how can I go abou it. Please help me. this is the question
''Think of the orhanisation of your own, and carry out a discussion on how strategic marketing activities apply to it. Thank in advance. I only need the outlines.
Heshima mkuu
naomba niwasilishe constructive critisims yangu juu ya swali lako
Ukisema unataka outlines una maanisha nini? Je hamna refence books ya kutumia kwenye hizo assigment. Nadhani ingekuwa vizuri kwako kuchemsha kichwa chako uje na outlines then ulize kama kuna nyongeza au kuna makosa .
Sorry naona style unayotaka kutumia ni ya spoon feeding ambayo siyos nzuri.
Vile vile elewa hiyo ya assingment wanataka ufanye research mwenyewe.So the best way fanya research then lete nondo zako . watu wakukosoe na kukuongezea.
Sijui mambo ya marketting lakini if i was you ningefanya hivi
1. Select organisation of my own( eg. Vodacom, NMB, KPMG, NOKIA TOYOTA, SIMBANET, Bonite Bottlers, TBL etc)
hapa uchgue organisation unayoweza kupata taarifa zakekirahisi ama kwenye mtandano au kutoka kwa wahusika. Nadhani huwezi kukosa rafiki kwneye makampuni wa kuweza kukupa taarifa jinsi wanafanya marketing. Ingawa taarifa nyingine ni siri lakini utapata basic . Maana nasikia COCACOLA walikuwa wanafanya
sabotage kwa PESPSI sijui kama hiyo nayo ni strategic marketting
Naamini kila organisation ina ViSSION na MISSION , ETHICS na CULTURE. Strategic marketting nadhani lazima izingatie vitu hivi.
2. Inabidi ujue
strategic marketing activities ni zipi. nahakika kweneye reference books ulizoambiwa kusoma zitakuwepo. kama huna vitabu taja majina ya vitabu na mwandishi tunaweza kukusaidia kukupa link ye kupata electronic books