Mkuu nilikua naulizia kupata ufamu tu; km spare zinapatika huchukua muda gani kuadimika?Mkuu umetafuta spare ya gari gan ukakosa? Bedford ya mzee wangu ya mwaka 1962 bado spare zake zinapatikana, Peugeot 402,404,405, Toyota Staut, Ford Anglia, Themes, Zephyr 6, Land Rover 108, 109, 110, VW Kobe na nk spare bado zinapatikana sasa sijui wewe gari yako ni nini na ya mwaka gani!
Asante sana mkuu; nimepata idea mpya piaSpea zingine sometimes zikikosekana kabisa zinaenda kuchongeshwa kwenye workshop za kuchongesha vipuri,unachofanya unakwenda,na spea halisi iliyokufa,wanakuchongeshea,mfano kule Morogoro Mzinga Holdings ambayo ni kampuni ya Jwtz wana workshop ya hivyo,sijui mikoa mingine
Pamoja mkuuAsante sana mkuu; nimepata idea mpya pia
To be honest mkuu sijui spare huchukua muda gani kuadimika! But I guess spare kuadimia depends with lots of variables!! That’s my guess mkuuMkuu nilikua naulizia kupata ufamu tu; km spare zinapatika huchukua muda gani kuadimika?