msaada,SPECIAL FACULT REQUIREMENTS(SFR) ndo nn ?

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
jaman hv hz SFR je hizo pesa 2ta pewa cc au chuo,na je hizo kaz yake hasa n nini? coz me cjaelewa bado na mbona wengine hawajapewa mfano wa UDSM-BAED,naomben ufafanuz.
 
SFR ni pesa anayopewa mwanafunzi kununua vitu maalumu hasa vifaa kwa kutokana na kozi husika na inatofautiana kila mwaka kutokana na mahitaji, mfano mtu wa nursing anapaswa kununua koti la mahabara, torch ya kumulika sikio au jicho n.k, hiyo pesa ndiyo kazi yake na anapewa mwanafunzi akiamua kununua au la hakuna wa kumwuliza ilimradi uwe na vifaa, na kila mwaka una maitaji yake kwa hiyo pesa yaweza ongezeka au pungua, mara nying inatoka wakati bøom linaishilia hivyo wengi vifaa tunaazima na SFR Unapeleka kwa mama ntilie.
 
SFR ni pesa anayopewa mwanafunzi kununua vitu maalumu hasa vifaa kwa kutokana na kozi husika na inatofautiana kila mwaka kutokana na mahitaji, mfano mtu wa nursing anapaswa kununua koti la mahabara, torch ya kumulika sikio au jicho n.k, hiyo pesa ndiyo kazi yake na anapewa mwanafunzi akiamua kununua au la hakuna wa kumwuliza ilimradi uwe na vifaa, na kila mwaka una maitaji yake kwa hiyo pesa yaweza ongezeka au pungua, mara nying inatoka wakati bøom linaishilia hivyo wengi vifaa tunaazima na SFR Unapeleka kwa mama ntilie. mkuu wewe ni wachuo gani..nauliza hivi kwasababu wanafunzi wa chuo fulani na kikubwa tu hapa tanzania hatupewi hiyo na ukijofanya kufuatilia tu ujue chuo ushafukuzwa
 
mbona sisi chuon kwetu hatupewi hyo..wakati bodi inaonesha natakiwa kupewa kiwango fulan
 
SFR ni pesa anayopewa mwanafunzi kununua vitu maalumu hasa vifaa kwa kutokana na kozi husika na inatofautiana kila mwaka kutokana na mahitaji, mfano mtu wa nursing anapaswa kununua koti la mahabara, torch ya kumulika sikio au jicho n.k, hiyo pesa ndiyo kazi yake na anapewa mwanafunzi akiamua kununua au la hakuna wa kumwuliza ilimradi uwe na vifaa, na kila mwaka una maitaji yake kwa hiyo pesa yaweza ongezeka au pungua, mara nying inatoka wakati bøom linaishilia hivyo wengi vifaa tunaazima na SFR Unapeleka kwa mama ntilie. mkuu wewe ni wachuo gani..nauliza hivi kwasababu wanafunzi wa chuo fulani na kikubwa tu hapa tanzania hatupewi hiyo na ukijofanya kufuatilia tu ujue chuo ushafukuzwa

wakati mwingne angalia majibu yako wenzio wamekosa mkopo wewe unadai mnapewa pesa na vfaa hamnunui mnapeleka kwa mama ntilie?SHWAINI.
 
SFR NI HAKI YA MWANAFUNZI WALA HILO HALIITAJI KWENDA MAHAKAMANI, KWANI KILA PESA WANAYOTOA HESLB IMEHESABIWA (CALCULATED) NA HUWA INAPELEKWA CHUONI YOTE KWA MWAKA HUSIKA, CHUO NDO KINAPANGA KUICHELEWESHA/ KUIWAISHA/KUMPA AU KUTOMPA MWANAFUNZI KUTOKANA NA SABABU HIZI: 1.Ubadhilifu/ ufisadi mfano: mwaka jana kuna chuo(cønfidencial) walikula mpaka tuition fee ila ikagundulika. 2.chuki binafsi mfano baadh ya vyuo mkikocomplain juu ya ucheleweshwaji wa boom mara nying linachelewa zaidi. NAWASIHI WADOGO NA WAKUBWA ZANGU KAMA UMEPEWA SPECIAL FACULT, SEMISTER 1 ISIPITE BILA KUDAI PESA YAKO PIA HUSIPANGIWE NI NANI AU WAPI PA KUNUNUA VIFAA KUNA MALECTURE WANA MADUKA YAO WANATAKASHIRIKIANA NA WAHASIBU KUTAKA PESA IKATWE WALETEWE VIFAA WANAFUNZI, USIKUBALI KWANI ILE PESA NI NYING MFANO Md kununua koti la mahabara anapewa 50,000 wakati ni bei ni 15-20 elfu.
 
wakati mwingne angalia majibu yako wenzio wamekosa mkopo wewe unadai mnapewa pesa na vfaa hamnunui mnapeleka kwa mama ntilie?SHWAINI.

KWA NCHUO BILA FAUL UTAISHIA KWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS) BOOM HALITOSHI MKUU HIVYO HUWEZI KUKIMBILIA KUNUNUA HIVO VITU, HUKU TUMBO LINANGURUMA, UTAISHIA Kununua na na kupata sup sababu ya msongo, CHUO TUMBO NA PINDI KWANZA MENGNE BAADAE,UKIKUA UTAYAONA.
 
thx guyz kwa ufafanuz wenu,hapo nimeelewa tayar
 
Kuna vyuo hiyo pesa inawekwa kwenye ada kama ulikuwa unalipiwa 900000 unaongeza na 60000.
 
mkuu hapo cjakusoma mbona waliopata 100% pia nawenyewe wame wekewa SFR hebu fafanua vzr hapo
 
Back
Top Bottom