msaada,SPECIAL FACULT REQUIREMENTS(SFR) ndo nn ?

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
jaman hv hz SFR je hizo pesa 2ta pewa cc au chuo,na je hizo kaz yake hasa n nini? coz me cjaelewa bado na mbona wengine hawajapewa mfano wa UDSM-BAED,naomben ufafanuz.
 
SFR ni pesa anayopewa mwanafunzi kununua vitu maalumu hasa vifaa kwa kutokana na kozi husika na inatofautiana kila mwaka kutokana na mahitaji, mfano mtu wa nursing anapaswa kununua koti la mahabara, torch ya kumulika sikio au jicho n.k, hiyo pesa ndiyo kazi yake na anapewa mwanafunzi akiamua kununua au la hakuna wa kumwuliza ilimradi uwe na vifaa, na kila mwaka una maitaji yake kwa hiyo pesa yaweza ongezeka au pungua, mara nying inatoka wakati bøom linaishilia hivyo wengi vifaa tunaazima na SFR Unapeleka kwa mama ntilie.
 
 
mbona sisi chuon kwetu hatupewi hyo..wakati bodi inaonesha natakiwa kupewa kiwango fulan
 
 
 
 
thx guyz kwa ufafanuz wenu,hapo nimeelewa tayar
 
Kuna vyuo hiyo pesa inawekwa kwenye ada kama ulikuwa unalipiwa 900000 unaongeza na 60000.
 
Kuna vyuo hiyo pesa inawekwa kwenye ada kama ulikuwa unalipiwa 900000 unaongeza na 60000.

mkuu hapo cjakusoma mbona waliopata 100% pia nawenyewe wame wekewa SFR hebu fafanua vzr hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…