Msaada: Star X smart TV kuunganisha na simu

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
 
Kwanza inabidi iwe ina support hiyo sharing ya namna hiyo maana sio kila TV inafanya hivo

kwahiyo kagua settings zake upande wa sharing kama itakuwa na screen sharing
 
Mimi nauliza kama kuna kifaa cha kuangalia medias kwenye TV ukiacha deck.@anigrain
 
Ndio mkuu inawezekana, Kwanza kama TV yako sio Smart inatakiwa ununue kifaa cha kuifanya iweze kusapoti kuangalia streaming

Kwahiyo unanunua fire tv stick, ukipata muda sehemu yoyote uliyopo nenda kwenye maduka wanayouza TV kisha waulize kuhusu hii kitu ili kujipatia maelekezo vizuri lakini pia kujua bei
 
Asante mkuu
 
TUNAPOSEMA SMART TUNAMAANISHA NINI ?NATUMIA PHILIPS AMBAYO INA PORT ZA HDMI TU HAINA PORT YA FLASH WALA MEMORY CARD MKUU.
 
Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
Inatumia operating system gani?
 
TUNAPOSEMA SMART TUNAMAANISHA NINI ?NATUMIA PHILIPS AMBAYO INA PORT ZA HDMI TU HAINA PORT YA FLASH WALA MEMORY CARD MKUU.
Tunaposema Smart TV ni TV yenye uwezo wa kutumika ikiwa connected na Internet, kwahiyo unaweza kuitumia Kwa kuatream vitu au kuangalia vitu

Mfano unaweza kuwa unaitumia kuangalia YouTube,kuitumia Google Kwa ajili ya matumizi kusearch baadhi ya vitu au unaweza kuitumia kusklizia music kwenye sites za miziki nk

Kwa ufupi kabisa ni TV ambayo unaweza kuitumia kama simu yako ya smart unavotumia kudownload vitu,kuangalia vitu,kufatilia vitu ila haya yote yanafanyika penye uwepo wa internet
 
Asante hii ina vyote ila haijawekewe tu sehemu ya flash wala memory card.
 
Back
Top Bottom