daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwanza inabidi iwe ina support hiyo sharing ya namna hiyo maana sio kila TV inafanya hivoHabari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
Ndio mkuu inawezekana, Kwanza kama TV yako sio Smart inatakiwa ununue kifaa cha kuifanya iweze kusapoti kuangalia streamingMimi nauliza kama kuna kifaa cha kuangalia medias kwenye TV ukiacha deck.@anigrain
Asante mkuuNdio mkuu inawezekana, Kwanza kama TV yako sio Smart inatakiwa ununue kifaa cha kuifanya iweze kusapoti kuangalia streaming
Kwahiyo unanunua fire tv stick, ukipata muda sehemu yoyote uliyopo nenda kwenye maduka wanayouza TV kisha waulize kuhusu hii kitu ili kujipatia maelekezo vizuri lakini pia kujua bei
TUNAPOSEMA SMART TUNAMAANISHA NINI ?NATUMIA PHILIPS AMBAYO INA PORT ZA HDMI TU HAINA PORT YA FLASH WALA MEMORY CARD MKUU.Ndio mkuu inawezekana, Kwanza kama TV yako sio Smart inatakiwa ununue kifaa cha kuifanya iweze kusapoti kuangalia streaming
Kwahiyo unanunua fire tv stick, ukipata muda sehemu yoyote uliyopo nenda kwenye maduka wanayouza TV kisha waulize kuhusu hii kitu ili kujipatia maelekezo vizuri lakini pia kujua bei
Inatumia operating system gani?Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
Tunaposema Smart TV ni TV yenye uwezo wa kutumika ikiwa connected na Internet, kwahiyo unaweza kuitumia Kwa kuatream vitu au kuangalia vituTUNAPOSEMA SMART TUNAMAANISHA NINI ?NATUMIA PHILIPS AMBAYO INA PORT ZA HDMI TU HAINA PORT YA FLASH WALA MEMORY CARD MKUU.
Asante hii ina vyote ila haijawekewe tu sehemu ya flash wala memory card.Tunaposema Smart TV ni TV yenye uwezo wa kutumika ikiwa connected na Internet, kwahiyo unaweza kuitumia Kwa kuatream vitu au kuangalia vitu
Mfano unaweza kuwa unaitumia kuangalia YouTube,kuitumia Google Kwa ajili ya matumizi kusearch baadhi ya vitu au unaweza kuitumia kusklizia music kwenye sites za miziki nk
Kwa ufupi kabisa ni TV ambayo unaweza kuitumia kama simu yako ya smart unavotumia kudownload vitu,kuangalia vitu,kufatilia vitu ila haya yote yanafanyika penye uwepo wa internet
Pamoja mkuuAsante hii ina vyote ila haijawekewe tu sehemu ya flash wala memory card.
BarikiwaPamoja mkuu
Mirror screenKuna kitu kinaitwa Mirror sreen kama hakipo basi