Msaada: Suluhisho kwa maumivu ya mongo na shingo

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Habarini wakuu,

Wiki tatu zilizopita nilikuwa nafanya jukumu fulani ambalo lilinilazimu kukaa kwa muda mrefu sana na kwa uzembe mkubwa kabisa nilipuuza kifanya mazoezi nakumbuka nilifanya mara moja tu. Ikafika mahali hata mimi mwenyewe nikastuka kuwa katika mazingira kama yale ni vigumu kupita bila kuugua.
Sasa kuanzia jana napatwa na maimivu ya mgongo kuanzia kwenye kiuno hadi kwenye shingo. Msaada kwa hilo tafadhali, kwa kuzinhatia chanzo cha tatizo nitumie dawa gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…