mkubhi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 2,216 Reaction score 3,319 Oct 6, 2016 #1 Wanajamvi na wasalimia wote.. Wanajamvi naombeni kunitajia supermarkets zote zinazopatikana dar na hitaji la kuwafikia pale walipo kwa hitaji la kuweza kufanya negotiations na kusa ply kwao bidhaa yangu.......
Wanajamvi na wasalimia wote.. Wanajamvi naombeni kunitajia supermarkets zote zinazopatikana dar na hitaji la kuwafikia pale walipo kwa hitaji la kuweza kufanya negotiations na kusa ply kwao bidhaa yangu.......
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Oct 6, 2016 #2 Ungeeleza bidhaa gani