inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Kiongozi niko makini ssna,hakuna mahali nimetaja niew model.Nimesema second generation.Ninatambua mpaka sasa suzuki swift new model ni generation ya nne.Sema kuiita 2008 new model sio poa.
Kiongozi niko makini ssna,hakuna mahali nimetaja niew model.Nimesema second generation.Ninatambua mpaka sasa suzuki swift new model ni generation ya nne.
Ni kweli.Hapo nimechemka
Poa. Kuna mtu nimemuuliza ATF anayo mwaka wa pili huu. AtanijibuNi kweli.Hapo nimechemka
Kiongozi haujarudiPoa. Kuna mtu nimemuuliza ATF anayo mwaka wa pili huu. Atanijibu
Sorry mkuu.Kiongozi haujarudi
Ni automatic mkuuSorry mkuu.
Ni automatic au manual?
Kama Auto inaatumia CVT transmission, manual inatumia ya kawaida. Tuanzie hapo kwanza.