kanene Member Joined Jan 25, 2012 Posts 55 Reaction score 6 Jan 13, 2013 #1 Wabari zenu wandugu Waomba kusaidiwa namna ya kujenga swimming pool,huku ninapoishi hakuna wataalam. Mwenye kuelewa kuhusu ili naomba msaada wake tafadhali. Nawasilisha!
Wabari zenu wandugu Waomba kusaidiwa namna ya kujenga swimming pool,huku ninapoishi hakuna wataalam. Mwenye kuelewa kuhusu ili naomba msaada wake tafadhali. Nawasilisha!
Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 420 Jan 13, 2013 #2 unaishi wp
T truckdriver JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 558 Reaction score 259 Jan 13, 2013 #3 waone nabaki africa watakusaidia