Wataalam naombeni msaada (ufafanuzi),
Nina Noah sr40 nimegundua Mara ninapo-switch overdrive on taa haizimi Kama ilivyo kawaida ya gari ikiwa katika overdrive mode (gear) badala yake taa inawaka na kuzima (flash/blink) tatizo ni nini wajameni na wale wakazi wa Arusha naomba tuelekezane gereji nzuri ambayo inafanya kazi kitaalum na bei affordable (wanafanya scanning/ diagnosis).
Nimechoshwa na mafundi wa kubahatisha napeleka gari ina tatizo moja ikirudi yanaongezeka mengine kibao.