Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Diagnosis machine wanachaji bei gani sehemu ambazo ni very reliable? Maana naona hii ni sensitive case kwa suala la usalama wangu na chombo piaJaribu kucheck wire wa abs ktk hub ya tire inawezekana umekatika..tatizo kila tire lina wire wake hivyo ni muhimu kutumia mashine ya diagnostic uweze kujua ni hub ya tire la upande upi..
Mkuu tuheshimiane kwa hilo... Halafu kajifunze spelling na proper writing. Maana post yako sijaelewa zaidi ya dharau tu...Mkuu kwa kikolorolla 110 usipate tabu nacho kata hivyo viwaya kwenye tyre na abs katembee bleki si zipo?
Nipo Dar Mkuu!! Nakuja PM kuyajenga. Nitangulize shukurani zangu za dhati kwa msaada wako [emoji120] [emoji120]Pole sana mkuu .kama upo dar naweza kukusaidia kukupimia then spea juu yako. Kama itahitajika .napatikana mwenge kama unaweza fika.
Ila kama upo mbali na dar ni PM namba yako then nitakupa maelekezo ni kipi ukifanye sababu kuandika hapa naweza maliza kitabu kizima na bado usinielewe.
Je huo ugonjwa ulianza kuna kitu chochote ulibadili kwenye miguu kama cv joint ??
vipi ulipo enda kwa fundi alikwambia shida ni nn??
Jichinje wewe kwanza, au hujijui kama nawe ni skrepa?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hiyo gari chinja skreppa...
Tatizo moderator humu wanavumilia sana watoto wa darasa la saba. Wanadhani kila saa ni mda wa utani. Mods wakilalamikiwa hawachukui hatua ya maana. Bar ikifanyika adabu na heshima itakuwepo humuMkuu tuheshimiane kwa hilo... Halafu kajifunze spelling na proper writing. Maana post yako sijaelewa zaidi ya dharau tu...