Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 83
- 251
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu. Nahitaji kurekebisha hili suala maana mafundi wananichanganya tu. Wananiambia nitumie bulb za watts 10,000 na mwingine ananiambia nibadiliashe lile yai.
Ukiwasha full light ni kali sana imefungwa booster. So siwezi tembelea usiku kabisa.
Nahitaji mwenye uzoefu. Gari ni Toyota Wish New Model 2010.