Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 83
- 251
Itakuwa imechubuka zile lenzi hivyo mwanga unakuwa scattered. nilikuwa na alex ilikuwa na tatizo hilo nikafunga taa za booster lakini ilikuwa haisaidii hasa kama kuna gari lingine nalo limewasha taa linakuja kwa mbele. ilikuwa inanilazimu kutembea nikiwa makini na ule mstari wa katikati ya barabara ili kujua kama niko upande wangu kama haupo napata tabu kweli.Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu. Nahitaji kurekebisha hili suala maana mafundi wananichanganya tu. Wananiambia nitumie bulb za watts 10,000 na mwingine ananiambia nibadiliashe lile yai.
Ukiwasha full light ni kali sana imefungwa booster. So siwezi tembelea usiku kabisa.
Nahitaji mwenye uzoefu. Gari ni Toyota Wish New Model 2010.
Ni LOW BEAM yenye shida. High haina tatizo. Na fog hazipo kwa hii yangu.
Sasa unafanyajeItakuwa imechubuka zile lenzi hivyo mwanga unakuwa scattered. nilikuwa na alex ilikuwa na tatizo hilo nikafunga taa za booster lakini ilikuwa haisaidii hasa kama kuna gari lingine nalo limewasha taa linakuja kwa mbele. ilikuwa inanilazimu kutembea nikiwa makini na ule mstari wa katikati ya barabara ili kujua kama niko upande wangu kama haupo napata tabu kweli.
Ungekuwa na Fog zingekusaidia sana huwa zinaongeza mwanga ukiwa kwenye Low beam.Ni LOW BEAM yenye shida. High haina tatizo. Na fog hazipo kwa hii yangu.