Habari wana jamii. Nahitaji taarifa au msaada wenu hasa wadau, wataalamu wa uchimbaji madini ya Dhahabu.
Mimi ni Mtanzania lakini naishi nje. katika mazungumzo na sifa mbali mbali za nchi yetu katika uchimbaji madini ya dhahabu, nimesikia kuna kiwanda kinatengeneza machine ya kukusanya dhahabu mtoni lugha ya kigeni: River Gold dragging machine.
Je hii ni kweli? kama ni kweli ni kiwanda gani?
Nitawashukuru kwa msaada wenu wakuu.