Msaada: Taarifa kuhusu vyuo vya kati

Msaada: Taarifa kuhusu vyuo vya kati

Naomba kujua je wanafunzi wa kwenda vyuo Vya Kati Tayari wameshaenda ama vipi Kuna vyuo nimeomba lakini Mpaka Sasa sijapata taarfa zao naomba msaada
Be specific umeomba chuo gani na kozi zipi uliushauriwe vzri
 
NAOMBA KUFAHAMU AJIRA ZA WAKUFUNZI VYUO VYA KATI WANATOAGA MWEZI GANI KILA MWAKA
 
Back
Top Bottom