K Kobe123 Senior Member Joined Jul 4, 2023 Posts 102 Reaction score 247 Sep 10, 2023 #1 Naomba kujua, wanafunzi wa kwenda vyuo vya Kati tayari wameshaenda ama vipi? Kuna vyuo nimeomba lakini Mpaka Sasa sijapata taarifa zao, naomba msaada.
Naomba kujua, wanafunzi wa kwenda vyuo vya Kati tayari wameshaenda ama vipi? Kuna vyuo nimeomba lakini Mpaka Sasa sijapata taarifa zao, naomba msaada.
7e153nrdyyf Member Joined Jul 31, 2023 Posts 71 Reaction score 48 Sep 10, 2023 #2 bado.kwan we umepangiwa chuo gan
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Sep 10, 2023 #3 Kobe123 said: Naomba kujua je wanafunzi wa kwenda vyuo Vya Kati Tayari wameshaenda ama vipi Kuna vyuo nimeomba lakini Mpaka Sasa sijapata taarfa zao naomba msaada Click to expand... Be specific umeomba chuo gani na kozi zipi uliushauriwe vzri
Kobe123 said: Naomba kujua je wanafunzi wa kwenda vyuo Vya Kati Tayari wameshaenda ama vipi Kuna vyuo nimeomba lakini Mpaka Sasa sijapata taarfa zao naomba msaada Click to expand... Be specific umeomba chuo gani na kozi zipi uliushauriwe vzri
G gELUKA New Member Joined Feb 22, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Feb 23, 2024 #4 NAOMBA KUFAHAMU AJIRA ZA WAKUFUNZI VYUO VYA KATI WANATOAGA MWEZI GANI KILA MWAKA