Zipo taasisi za kimataifa za kutetea haki za binadamu kama
-Office of united nations hing commission for human rights.
-European courts of human right
-Amnesty international.
-UNESCO.
-Human right watch.
-International alliance for women.
-Commonwealth human rights initiative.
-Amazon watch.
-Anti-Slavery international.
-United nations high commission for refugees.
NB: Kwa kifupi yapo ya kitaifa, kikanda, kibara na kimataifa. Kwa nchi mbalimbali za ulimwengu zina mashirika kibao ya haki za binadamu yanayojishulisha na wanawake, watoto, wafanya kazi, wakimbizi, wanafunzi, wazee and list goes on.