Jaman mi ninatatizo la kucheza/vibration kwa mishipa ya damu,ilianza kwenye jicho lakini sasa ni mwili mzima,mara kwenye kidole,mguu,paja,kichwani kwa mara tofauti tofauti kila cku,imenianza mwaka jana mwz wa 1 had leo,msaada wa dawa za kutumia,vyakula vya kuacha/kutumia n.k