Msaada, Tafadhal Naombeni list ya vyuo vya kilimo hapa tanzania vinavyotoa diploma

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,164
Reaction score
573
Wakuu
Mimi nimemaliza chuo kwa ngazi ya cheti (certificate in general agriculture). Nataka kujiunga na chuo kwa ajili ya diploma mwaka huu 2014/15, ila sijui vyuo vinavyotoa hiyo elimu.
Naombeni mwenye kujua chuo cha kilimo ama mifugo ambacho naweza enda kujiendeleza nitashukuru.

Naomben na ada zake kama zinajulikana mniwekee tafadhali.
natanguliza shukran.

Sichagui kiwe cha serikali ama cha binafsi.

Ndechu.
 

Nenda chuo cha iLEMI kipo mbeya wanatoa diploma ya kilimo
 
MATI Uyole, kipo Mbeya. Ni cha serikali na kiko poa.
 
LITI-morogoro, SUA pia inatoa diploma ya afya ya wanyama (animal health & production), Igurusi-mbeya, Uyole, tukuyu pia kuna chuo kinatoa dip. ya kilimo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…