msaada tafadhal

msaada tafadhal

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
993
Reaction score
703
mtoto wa jiran yangu ansoma kidato cha nne katika shule moja ya private, mwezi uliopita amefukuzwa shule kwa kosa la kutoka nje ya shule usiku na kuiba nyanya shamba la jirani. shule inamkatalia kufanya mtihani nae ameshasajiliwa, anauliza afanyeje ili mtoto aweze kufanya mtihani mana usajili umeshafungwa na hawezi kwenda kusajiliwa shule nyengine.
 
Back
Top Bottom