teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Ndg zangu mafundi naomba msada kuhusu hii gia box, ninapoondoka gia moja, ya pili inapotaka kubadilisha kuingia tatu inajifunga breki, na ikishafanikiwa kuingia inaishia gia tatu, na wakati meingine inafika nne, wakati mwingine inangangania gia no tatu, haibadili hata wakayi wa kuondoka inakuwa tatu hiyo hiyo, tatizo litakuwa ni nini? Naambatanisha picha ya ndani.
Lakini pia hizo solonaid ipi inatumika no moja na ipi ni tano na riverse.
Lakini pia hizo solonaid ipi inatumika no moja na ipi ni tano na riverse.