Chigwiyemisi JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 531 Reaction score 228 Nov 27, 2016 #1 Wadau habari zenu. Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa kivilee.
Wadau habari zenu. Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa kivilee.