Naomba msaada wa charter iliyoestablish chuo cha ESAMI, na je kuna limitation yoyote kwenye kufungua madai yanayotokana na breach ya contract, do a person need to get a waiver before instituting claim against ESAMI? Natanguliza shukurani.
Kwani kwenye website yao hawana? Limitation huwa zinakuwepo kwenye kesi za madai. Angalia law of limitation wameeleza. Lakini kama sijakosea limitation ni 5 years unless unaomba court leave kama unaweza kuishawishi mahakama kwa nini hukudai kipindi hicho.