MSAADA TAFADHALI! Course gani ya diploma naweza somea.

Abdallah404

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
61
Reaction score
21
Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 na nina ufaulu wa division II points 18,LAKINI sitaki kwenda advance je ni course gan ya diploma naweza soma(sana course za sayansi)?
ufaulu wangu masomo ya sayansi ni
physics-C
chemistry-B
biology- B+
 
Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 na nina ufaulu wa division II points 18,LAKINI sitaki kwenda advance je ni course gan ya diploma naweza soma(sana course za sayansi)?
ufaulu wangu masomo ya sayansi ni
physics-C
chemistry-B
biology- B+

Umaphology ita kufaa
 
Umaphology ita kufaa
What is Umaphology? inatolewa wapi course hiyo. Dogo asipende short cut nenda Advance upanue wigo zaidi. Wapo walio kwenda diploma ya civil engineering wakitokea direct kidato cha nne lakini baadae wakajikuta wamejipunguzia uwanja wa kucheza kwenye ajira.
 
nenda ukasomee ufamasia, uafisa afya au utabibu. ukimaliza ni kupangiwa tu kituo cha kaz na serikali kisha utajiongeza mwenyewe kielim hapo baadae. koz zingine utasota kwenye kutafuta ajira.
 
kasome ualimu tena unalipiwa bure ukimaliza shavu maana umesoma sayansi hutajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…