Msaada tafadhali (Degree to Master)

young mdogoo

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
120
Reaction score
21
Nasikia kunauwezekano wa kupandishia master ya facult ambayo hujasoma degree yake, mfano umesoma civil eng then ukachukua master ya computer eng au hata upharmacy kigezo kilichopo ni combination uliyomalizia Advance, naomba ufafanuzi zaidi katika hili wakuu.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…