Msaada tafadhali-Frequency za simu Tanzania

Herg

Senior Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
149
Reaction score
55
Wakuu naomba kuelimishawa kama nikiwa na blackberry (unlocked) ya GSM/GPRS 1900/850/900/1800mhz au 3G UMTS 2100/1900/850 mhz nitaweza kuitumia ktk mitandao ya Tigo, Voda na Zain Dar.
 
Wakuu naomba kuelimishawa kama nikiwa na blackberry (unlocked) ya GSM/GPRS 1900/850/900/1800mhz au 3G UMTS 2100/1900/850 mhz nitaweza kuitumia ktk mitandao ya Tigo, Voda na Zain Dar.
Bilashaka mkuu utaweza, pia na hata kwa Zantel utaweza
 
Those two are world wide standard unaweza kutumia sehemu yeyote ile.

GSM
ndio inatumika sehemu nyingi sana duniani origin yake ni EUROPE. Na kwa tanzania mitandao yote inatumia standard ya GSM.

UMTS ni standard imeoriginate from AMERICA.So baadhi ya provider ya marekani na canada wanatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…