Gari yangu aina ya Toyota Succeed. Inajiongeza kasi wakati inatembea. Mafundi karibia wote wanadai gear box inunuliwe mpya. Shida inawez kuwa nini jamani?
Ina jiongeza kasi kwa sekunde kadhaa ikiwa kwenye mwendo halafu inajirudi fasta.
Inabadilisha gia vizuri kabisa na kwa wakati.