Tembelea maduka ya Kariakoo hasa mtaa wa Uhuru. Utakuta jenereta kibao za kichinaWakuu naomba msaada wa aina na mahali pa kupata Generator ya umeme kwani nina mtoto mdogo ambaye umeme ukikatika anasumbua sana. Naomba kujuzwa aina ambayo ni imara, inayotumia mafuta kidogo na yenye ufanisi kwa ajili ya kuwasha taa na TV. Bajeti yangu ni kama 350,000 +. Natanguliza shukrani za dhatiNakaa hapa Dar Es Salaam