Msaada tafadhali ( Heslb )

rasha

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
75
Reaction score
8
Kwanza natanguliza shukrani kwako,
Kwenye loan allocation nimepata mkopo, na Jina langu lilikuwepo kwenye mbao za matangazo chuo,
Kwa sasa mkopo umekuja chuoni na wenzangu wamepata, mimi nimeandikiwa "loan suspended!"
Naomba kufahamishwa hii inamaana gani kwangu? Loan nitapata au la!,
 
Wasiliana na wazir wa mkopo wa chuon kwako atakusaidia.
 
kwani hiyo loan suspension imeandikwa wapi?kwenye akaunt yako?

Hapana kwenye list iliyokuja kuonyesha fedha iliyoingia na mgawanyo wa kila mtu ndio Jina langu limeandikiwa hvyo,
Kwenye account yangu mkopo upo
 
we utakua ulishawai soma chuo zaman na bodi ilkupa mkopo! hivyo unatakiwa ulipe kwanza ata robo ya mkopo wa awali ndo upewe pesa ya awamu hii
 
we utakua ulishawai soma chuo zaman na bodi ilkupa mkopo! hivyo unatakiwa ulipe kwanza ata robo ya mkopo wa awali ndo upewe pesa ya awamu hii

Hapana hiyo fedha wala sidaiwi,
Na nimeomba kwa mara ya kwanza.
 
Loan yako ipo bt nenda kwa wazir wa mkopo akusaidie jins ya kufatilia acha panic dogo mambo yote yataenda sawa.
 
Loan yako ipo bt nenda kwa wazir wa mkopo akusaidie jins ya kufatilia acha panic dogo mambo yote yataenda sawa.

Shukran mkuu, kwa ushauli nakunipa matumaini mkopo upo
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…