ynyend1
Member
- Nov 19, 2012
- 73
- 13
Habari wana JF..
Mke wangu anaumwa sana kichwa tangu jana usiku....
Wiki iliyopita (Ijumaa) alienda hospital kwa ajili ya family planning, akatumia njia ya sindano. Sasa sijui ndo dalili za dawa alizotumia ndo maana kichwa kinauma au kuna tatizo lingine la kiafya.
Kwa wataalam wa mambo haya, please naomba msaada wenu namna ya kumsaidia ili kichwa kitulie!!
Natanguliza shukrani...