Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Siku akipigishwa deki mtamshangaa na kumuonea huruma vile vile
Wala asingeweza kumfanyia hivyo,
Unajua kabla hajajua kipato cha binti alikuwa anampenda kwa namna alikvyokuwa anamheshimu,kiasi kwamba jamaa alipagawa kupita kiasi,mpaka jamaaa alishatoroka kazini mara mbili kumfata binti mwanza mjini,kwa kifupi alikuwa amehsakolea tayari,kipato ndio kimeua mapenz!
 
kwa mtaji uo wengi hatutaolewa, au hakuna kumwonyesha mshahara tu..mpaka kieleweke
Mwenzangu!mie naona hawa viumbe km hawaeleweki vile!
Ukiwa huna tatizo,ukiwa nazo ndio km hivi,hata sijui wanatakaje!
 
My dia,mie naona tu hawa watu km siwaelewi!
Mie nadhan wanatakiwa wabadilike tu coz km mtu anampenda na kumheshimu tatizo ni nn!
Binti anasema atajitahidi kutafuta namna ya kumwelewesha jamaa km ikishindikana basi atamshukuru mungu na kuendelea na maisha!
 
Rafiki nakusalimu. Sijakuona kwenye mitaa yote. Imekuwaje?

Rafiki, ni kweli nimepotea kwa muda. Mkoloni alininyima ruhusa ya kukatiza mitaa ya huku.....otherwise niwamiss sana marafiki zangu wa MMU.
 
huyo mwanaume ni wa aina yake wanaume wa siku hzi wanaangalia kama mkoba wa mdada una notinamshangaanadhani huyo ni mmoja katika milioni tatu hongera zake
Mwenzangu,huyu hata sijui ni wa mwaka gani?
Wakati wengine akijua hivi ndio anatangaza na ndoa kbs!
 
Rafiki, ni kweli nimepotea kwa muda. Mkoloni alininyima ruhusa ya kukatiza mitaa ya huku.....otherwise niwamiss sana marafiki zangu wa MMU.
Mwambie mkoloni wake akirudia tena namwagia laana kikojoleo chake kihamie kisogoni.......... hawezi kutuondolea rafiki yetu mtaani hapa kwa muda mrefu namna hii!
 
Kama walivyosema wengine, kama kweli alimpenda, hilo la pesa asingeliona. Lakini naona kuna walakini. Asilazimishe....asije akajuta baadaye.
 
Usijali,nipo MWANAUME ninaejiamini na nisietishika hata kama una mapesa kama Oprah,njoo kwangu uone!
kweli kabisa, mwanaume kujiamini.. sasa ina maana wenye pesa wanaolewa na pesa ama?
kuweni mnajiamini mnaweza hata kuwa vidume na mkaongoza familia hata wanawake zenu
wakiwa na pesa kama serikali, mwanamke hata aweje at the end of the day miguu lazima
ipepee lol....tena anakuwa mpooooleeeee
 
Baba hapa nimekuelewa vizuri kbs,
Lakin huoni km huyu jamaa amekurupuka?
Kwann asingekuwa mvumilivu kumsoma huyu binti na kujua km kipato chake anakichanganya na mapnz au la?
Ukizingatia kabla ya kujua kipato cha binti,jamaa alikua anampenda sana huyu binti,na binti hakuwahi kujionyesha km ana kipato kikubwa!
Na ndio maana hata alipofika kwa binti na kuona thaman za pale alishindwa kuamini km ni uwezo wa binti anayemjua mpaka akaomba slip ya mshahara ili hakikishe anachokiona!
Hapa baba unasemaje?
 
always pointless

Let's be honestly bana.. Alwayz tunapotaka kuingia kwenye mahusiano hiyo kitu ndo huwa inakuwa Reference Point. Mzigo kwanza then mambo mengine baadaye.
So, u shud thank him kwa kuuliza swali hilo..!!
 
Kama walivyosema wengine, kama kweli alimpenda, hilo la pesa asingeliona. Lakini naona kuna walakini. Asilazimishe....asije akajuta baadaye.
Uko sahihi mpendwa,
Kisicho riziki siku zote hakiliki!
 
Let's be honestly bana.. Alwayz tunapotaka kuingia kwenye mahusiano hiyo kitu ndo huwa inakuwa Reference Point. Mzigo kwanza then mambo mengine baadaye.
So, u shud thank him kwa kuuliza swali hilo..!!

Kweli mkuu lazima mtu ajiridhishe kwanza mengine yanafuati unaweza kutwa oversize huwezi jilazimisha
 
Mwambie mkoloni wake akirudia tena namwagia laana kikojoleo chake kihamie kisogoni.......... hawezi kutuondolea rafiki yetu mtaani hapa kwa muda mrefu namna hii!

RAfiki, ngoja nimkopie hii msg halfu nimpelekee.....nafikiri hatarudia tena......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…