BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Haaaa haaa haaa!Kutafuna........ kama unavyotafuna bigijii, huimezi siyo?
Kuliwa............Unatafuna afu unameza....
Tukienda kwa lugha ya ki-MMU jukwaa la Chit Chat:
Ukitoka na boifrendi wako akavaa kondom, ujue kakutafuna
Asipovaa, amekukula.
Soma upesi nidiliti kabla PAW hajaisoma.:hatari:
Mtu mwenye uhakika na afya yake na njia zake kamwe haogopi kupima,
Na km nikigundulika ninavyo utakuwa umenisaidia pia,
Kwani nitajua namna ya kuishi na kulinda afya yangu!
Hahahahaha! Mpwa bana!
Ndo hivyo rafiki. Mwambie Cantalisia asiniulize na kumegwa ndio nini. Hii sredi isijehamishiwa jukwaa la Maria Roza kabla fellow tablet wangu hajaichangia.
Nimekusikia babu,Hahahahaha! Mpwa bana!
Ndo hivyo rafiki. Mwambie Cantalisia asiniulize na kumegwa ndio nini. Hii sredi isijehamishiwa jukwaa la Maria Roza kabla fellow tablet wangu hajaichangia.
Ki ukweli kafa kaoza,Kwani huyo jamaa unafikiri hawezi pata mzigo mwingine?
Ishu na kwa huyo mpambe wako kama alikolea sana kwa jamaa itakuwa ishu kumpata mwingine kama huyo
Haaaa haaaa haaa,Sasa utakapo jua unao udot com mimi sitapata tena fursa ya kulifaidi penzi lako nitakuwa sijayatendea haki mahusiano yetu Ibara ( ) ya katiba ya jamhuri wa Muungano nenda kasome
Mie naona hizo ni hisia zenu tu,ni tatizo kwa kweli,nyie huwa na midomo sana mkishakuwa na kipato kikubwa!huyo mdada hata asihangaike,jamaa keshakuwa inferior mbele yake!
Nimeshakubali wala siulizi tena,Nafikiri hawezi kuuliza tena.....maana ikishaenda huko, wengine hatuna funguo za hilo jukwaa....
Sasa jaman si angempa mda kwanza?kwa kweli huwa wakiwa nazo wachache sana wanaoweza kuheshimu waume zao,na ndipo hapo mpasuko unapoanzia.....ni heri awe na cha wastani tu tunaita cha kubadilishia mboga
Huyo si mwanaume bana.......ni gumegume. Source: Thread ya ODMNimekusikia babu,
Ila huyo kidonge mwenzio popote alipo mwambie namtafuta nimemiss sana!
Leo nimegundua aina za wanaume dah!
Sikujua huyu jamaa ana wenzie wanaoogopa wanawake wenye vipato lol!
Nimeshakubali wala siulizi tena,
Haya majibu yake tu mie hoi lol!
Wala hujakosea ndugu yangu,janaume la namna hiyo la nini?
ndo wale wasiopenda kuona wake zao wana mafanikio...
HALAFU TUKISEMA WANAUME HAWAJIAMINI MNABISHA.......
HII NDO TAASISI HURU HII?
mwambie huyo dada aendelee na maisha yake huyo mwanaume atamsumbua. halafu kwa nini kamuonyesha salary slip yake? yeye alionyeshwa?
Huyo si mwanaume bana.......ni gumegume. Source: Thread ya ODM
Haya babu ODM nimekusoma mjukuu wako!Huyo si mwanaume bana.......ni gumegume. Source: Thread ya ODM
Yan ww acha tu,umeona eee...canta....huyo ndo BABU ODM....akitokea mwingine ni fake...π π