Hiyo factory reset passwrd ni kwa mmiliki wa kwanza kabisa ndio anazifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway. Fanya hivi, Fungua hiyo account yako kwenye Simu au PC kisha reset password za icloud kisha Restere iyo device yako kwa Itunes on PC/MAC kisha utalogin icloud yako. Hakikisha una WiFiMimi ndio mmiliki
Download itunes kwenye pc, download specific ipsw file la ipad husika chomeka ipad kwa pc ikiwa kwenye dfu mode fungua itunes shikiria shift key kwenye keyboard kama watumia windows au cmd kama watumia mac bonyeza update kwenye itunes itakutaka ulocate ipsw file lilocate then click upadate/next then sit and relax ikirestore ikimaliza itabid uset kila kitu upya, ila kama ilkuwa na icloud bado itakudai ila kama access password itaondokaWakuu,
Nina Ipad yangu zile za kitambo za 16 BG
Sasa nataka kuresert / Factory nimejaribu Kuingiza password zote ambazo nakumbuka but imekataa inasema ni wrong.
So please kwa mtu yeyote ambaye anajua manouver ya kufanya nikaresert kila kitu.
Coz kuna mtu nataka kumpa ikiwa haina kitu changu chochote.
Za kitambo zipi? Ungeweka model ingekuwa rahisi zaidi maana kuna vifaa vya zamani vya Apple havijaathirika na icloud. Sema kama ni enzi hizo pia hutaweza kuweka app yoyote ya maana.Wakuu,