Msaada tafadhali, kuhusiana na psptb review classes

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
592
Reaction score
183
Wasalaam waungwana

Ninaomba msaada kutoka kwenu, mimi ni mwanafunzi ambaye ninatarajia kufanya mitihani ya PSPTB hapo mwakani mwez wa tano.

Nimesikia pale buguruni kuna kituo kwa ajili ya review classes, sasa kwa mwenye mawasiliano ama namna ya kuniwezesha maelekezo namna ya kuwapata hawa jamaa nitafurahi. Msaada tafadhali.
Nangoja toka kwenu.
Ahsanteni
 
mkuu hebu tuambie kwanza level yako ya elimu na ulichosomea ni nini kwanza!

then we are going to share ideas!
 
Make usiwe unauliza kumbe ndo kwaaanza unataka anza foundation level mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…