Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana jamvi. Naamini mko vizuri na mungu anasaidia sana.

Akaunti Yangu Ina shida . Inashindikana kum follow mtu. Kuna maneno inaleta “Some accounts prefer manually review followers even when they are public”

Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kusolve hili tatizo.
 
This is a very good question. I also want to know more about it. How many people one user can follow on Instagram?
reports suggest that users can follow between 100 to 200 accounts per day, depending on their account's activity and history.

Exceeding these limits might temporarily block you from following more accounts for a short period. It's recommended to keep the number moderate to avoid triggering Instagram's limits.
 
Ujumbe unaosema “Some accounts prefer manually review followers even when they are public” una

maana kuwa baadhi ya akaunti zimeweka mipangilio/privacy terms ya kiusalama au faragha inayoruhusu wamiliki wa akaunti hizo kupitia manual wale wanaowafuata, hata kama akaunti zao ni za umma (public).

Hii ni sababu moja wapo inayokuzia kufollow akaunti hizo moja kwa moja, na wamiliki wa akaunti hizo wanaweza kuhitaji kukukubali kwanza kabla ya wewe uweze kuwafuata/following.
 
Kwa hiyo hapo hamna tatizo lolote. Na mwanzo mbona haikuwa hivyo mkuu
 
reports suggest that users can follow between 100 to 200 accounts per day, depending on their account's activity and history.

Exceeding these limits might temporarily block you from following more accounts for a short period. It's recommended to keep the number moderate to avoid triggering Instagram's limits.
Though I am not a regular user. I will follow the guidelines. Thanks for sharing.
 
Back
Top Bottom