ahsante kwa taarifa mkuumie naona CRDB wako vizuri kuzidi NMB. Hao NMB hata huduma zao ovyo wakati mwingine, pia wana tatizo la vijana wao wanaojua IT kuiba pesa za wateja kwenye a/c zao. hiyo bank tuachie sie makwabwela lakini sikushauri kuingia humu! pia foleni zao ni balaa halafu huwa hawana huduma nzuri kwa wateja (wanafanyia mazoea) usishangae teller anaona foleni ndefu wamefungua dirisha saa 2.30 asubuhi, halafu saa 2.45 yaani baada ya robo saa tu tokea afungue anafunga dirisha eti ANAKWENDA KUNYWA CHAI!